VIATU



Viatu bomba vya watoto kwa size mbalimbali kuanzia umri wa mwaka mmoja hadi 14 kwa rangi tofauti tofauti ni kwa watoto wa kike na wakiume







simple shoes nzuri mpenzezeshe mtoto wako kwa bidha nzuri kwa bei rahisi na badirisha muonekano wa mtoto wako.



badirisha muonekano wa mtoto wako kwa viatu vizuri kama hivi vya mtoto wa kiume size kuanzua 1-10



Raba nzuri rangi tofauti tufauti kwa bei nafuu kabisa penda kuboresha muonekano wa mtoto wako































1 comment: